Jumuiya ya Urafiki wa Wafini na Watanzania inayofuraha kukualika kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.
Mgeni rasmi anatazamiwa kuwa balozi wa Tanzania mh Dora Mmari Msechu anaye hudumia nchi za Baltic na Nordic.
Hii itakuwa ziara yake ya kwanza nchini Finland.
Karibu kushiriki nasi kwenye mijadala,chakula cha kitanzania,buradani.
Wageni mnaotoka nje ya Finland unaweza wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu malazi kabla ya November 30, 2014.
Maelezo zaidi ingia kwenye ukarasa wao wa facebook kwa kubofya hapo chini.
Kaswali kidogo, hivi huu ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika????
ReplyDeleteHako kaswali hakanaga jibu.....kinaingia ktk fungu la maksi ya bure....
ReplyDelete