Mkurugenzi mkuu hifadhi za Taifa ,Tanzania Bw. Allan Kijazi (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Model of Tourism Tanzania mara baada ya kufanya ziara yao katika makao makuu ya TANAPA jijini Arusha.
Home
Unlabelled
SHINDANO LA MODEL OF TOURISM KUFANYKA NOVEMBA 22 MWAKA HUU JIJINI ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
utter nonsense, when I was growing up in my lovely bongo-land, my parents told me that education is the key to life, get education FIRST. The social mobility in the then Bongo was mainly after been to "shule". How can today`s youngsters aspire to become well educated and excel in life, if they are bombarded with these seemingly endless beauty contests ?.I understand it is all about choice as well, but kudos to today`s kids who are keen to excel in education, may Jah bless you in achieving your goals.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi. MD
I respect other peoples values, I respect other peoples freedom of choice, but this is one thing that I really dislike.Parading of nice young girls in a market.One of them almost saying, look at my kifurushi. This alien to African values.
ReplyDeleteMichuzi mbona umeweka kapuni ujumbe wangu hapa? ukweli unauma au ndo nini?
ReplyDeleteDr Bitozi. MD
Wekeni kanuni za kusimamia mashindano ya urembo. Kanuni hizi zilenge mambo ya msingi ya kudumisha utamaduni na asili ya jamii ya kitanzania na ya kiafrika. Kwa mfano:
ReplyDelete(1) Onyesha urembo unaozingatia asili ya mwafrika. Yaani nywele bandia zisiruhusiwe. Kubadilisha rangi ya ngozi kusiruhusiwe.
(2) Onyesha urembo unaoheshimu mila na desturi za kiafrika.
(3) Onyesha urembo unaoendeleza tabia njema kwenye jamii.
(4) n.k., n.k.
Mambo kama haya yakizingatiwa, mashindano ya urembo yanaweza kuwa na mchango mkubwa kwenye jamii.
What you said it true
DeleteAibu tupu.Zamani wabunge na wanasiasa hasa wanawake walikuwa wajishughulisha na kujitahidi kuwaprotect watoto wa kike kama hawa.Siku hizi naona wasema pengine,hayawahusu.Look at them looking like dagaa wangojea kukaangwa.
ReplyDeleteTAHADHALI:
ReplyDeleteMiss Tourism Tanzania/Miss Utalii Tanzania, haina uhusiano,ushirika wala kulitambua shindano linalo jiita Model Of Tourism Tanzania.Tunawasihi wadau wote wa tasiania ya urembo nchini hususani wa shindano la Miss Utalii Tanzania/Miss Tourism Tanzania, kujihadhali na ghiliba za waandaaji wa shindano hilo linalojiita Model Of Tourism.Wanasheria wa Miss Tourism Tanzania Beauty Pageant Limited, wako katia hatua za mwisho za kisheria dhidi ya upotoshaji huo. Ikumbukwe kuwa Miss Tourism Tanzania Beauty Pageant Limited na E.G.C.Honolulu Promotion ndio pekee wenye dhima ya kikomo (Hakimiliki) ya Miss Tourism /Miss Utalii Tanzania.Hatutahusika na madhila yoyote yatakayo tokea kwa wadau na wafadhili walio jiingiza katika kadhia hiyo inayo kiuka sheria za haki miliki za kitaifa na kimataifa.Aidha bodi ya mashindano ya Miss Tourism Tanzania ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu za kufanyika kwa shindano hilo ,baada ya kutofanyika kwa mwaka mmoja kwa lengo la kujipanga upya na kujiimarisha kiuendeshaji na kimfumo.Asant Abdalla Saifi - Msemaji Miss Tourism Tanzani / Miss Utalii Tanzania