Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kufafanua uzushi unaoenezwa na baadhi ya wabunge wa bunge hilo kuhusu yeye, na baadhi yao wakisusia kushiriki vikao vya bunge hilo kushinikiza aondoshwe kwenye kamati ya uongozi kitu ambacho amekipinga akitaka wenye madai hayo wawasilishe kwanza madai yao yajadiliwe na yeye ajitetee. mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mbunge wa Bunge hilo Twaha Taslima, aliyekuwa akifafanua mambo ya kisheria kuhusu bunge hilo.
Mbunge wa Bunge hilo Twaha Taslima, aliyekuwa akifafanua mambo ya kisheria kuhusu bunge hilo.
Kuna sababu gani tuhuma hizo kuelekezwa kwako na sio kwa mwingine?
ReplyDeleteAnony namba 1,
ReplyDeleteUnapomuuliza Shyrose sababu gani? za shutuma kuelekezwa kwake si kwa wengine! swali lako linafanana na mtu aliye usingizini,kwanini ? wewe haujui kuwa siasa za kifarika ni za kinafiki,fitina,kikabila na udini,
hizo ni sababu tosha za kumchagua shyrose kuwa kondoo wa sadaka
Kama kawaida yetu wabongo! Kwanini hizo sababu zako uzieleze kwa waandishi wa habari badala ya vikao vya bunge vinavyohusika? Ha! Ha! wanakuonea wivu bibie
ReplyDelete