Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
Kocha wa Simba, Patrick Phiri akikumbatiana na Okwi baada ya mchezo na tmu yake kupata ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa Ligi.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
wamesahau kila kitu kina mwanzo wengi wamechukia ushindi wa simba
ReplyDeleteWashabiki wa Man U na Simba wamesababisha msongamano kwenye hospitali kwa maradhi yanayofanana: homa za vipindi, presha, kukosa usingizi, huduma duni nyumbani (kwa jinsia nyingine sijui)!
ReplyDeleteKazi kweli kweli!! Kweli ushabiki ni hatari!!