Wanaotambua good music wanajua kuwa unapatikana ndani ya isumba lounge (jollies club) kila ijumaa na jumamosi; chini ya usimamazi wa DJ JOHN DILLINGA na DJ FAST EDDIE doors open 9pm entry 10. Karibu na wewe tule oldies, old scul, soca rumba, charanga, chacha na nyingine kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...