Meneja
wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo
akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais,
Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake.
Kiongozi
wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango,
Bibi Florence Mwanri (mwenye koti jekundu) pamoja na timu yake wakijionea Daraja
la Luhekei C lenye urefu wa mita 60.
Timu
ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ikiwa
katika picha ya pamoja na mwenyeji wao
Mhandisi Lusage Mulenzi katika kibao cha ufunguzi rasmi wa Darala la Luhekei C.
Daraja hili lina urefu wa mita 60, lilifunguliwa rasmi tarehe 18 Julai, 2014 na
Mheshimiwa Rais, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
PICHA
ZOTE NA SAIDI MKABAKULI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...