Nyumba ya Maarifa (NIP) mkabala ATCL House,
Ghorofa ya Kwanza, Mtaa wa Ohio,
S.L.P. 79868, Dar es Salaam. Simu: +255 22
2127464, Nukushi: +255 22 2126399
![]() |
|
![]() |
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA
WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA –
TAPSEA ANAWAJULISHA MAKATIBU MAHSUSI WOTE TANZANIA KUWA OFISI YA TAPSEA IMEHAMIA
KATIKA JENGO LA NYUMBA YA MAARIFA (NIP) MTAA WA OHIO. WANACHAMA WOTE MNAOMBWA KUKAMILISHA UANACHAMA
IKIWA NI PAMOJA NA KULIPIA ADA YA MWAKA KUPITIA AKAUNTI NAMBA 0150031411800 CRDB
AZIKIWE BRANCH, AU AKAUNTI NAMBA 2236600363 NMB HOUSE.
NA WALE AMBAO HAMJAJIUNGA NA CHAMA MNAOMBWA MJIUNGE, FORM
ZINAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA TAPSEA, KATIKA OFISI ZA CHAMA NA KWA WAWAKILISHI
WA MIKOA.
OFISI ZIKO WAZI KUANZIA SAA 1:30 ASUBUHI MPAKA SAA 11:00
JIONI.
WOTE MNAKARIBISHWA KUPATA HUDUMA ZA CHAMA.
IMETOLEWA NA
ZUHURA S. MAGANGA
MWENYEKITI – TAPSEA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...