Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kushoto) akishiriki kikao cha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji walipokutana na Uongozi wa Mkoa wa Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji baada ya kutembelea fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji zilizo Mkoa wa Pwani. Balozi wa Tanzania Ubelgiji anaongoza ujumbe huo.

Tungependa kuona hao wawekezaji kutoka Belgium wanaandaliwa mazingira mazuri na hatimaye kuwekeza, angalau tutaona maana ya zile picha unazopiga nao Mheshimiwa pamoja na hiyo safari ya kuongozana nao Bongo
ReplyDelete