Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa
Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano
uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...