Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo
mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF)
leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe
wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya
Potwe
wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye
wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo.
PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.
Picha namba moja ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Subira Mgalu akisisitiza,
jambo wakati uzinduzi wa kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa
afya ya Jamii(CHF) kwenye kata ya Potwe wilayani Muheza uliofanyika
leo ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasiska na kujiunga papo hapo.
Wananchi
kutoka sehemu mbalimbali kwenye Kata ya Potwe wilayani Muheza
wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Muheza ambaye hayupo pichani wakati wa
uzinduzi wa uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya
jamii(CHF) leo ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390
walihamasika na kujiunga papo hapo.
walihamasika na kujiunga papo hapo.
MAAFISA
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) wahamasika kwenye zoezi hilo na
kuamua kuwalipia wanafunzi wa shule za msingi wapatao 80 kwenye Kata ya
Potwe wilayani Muheza wanaoishi kwenye mazingira magumu wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi
kujiunga na mfuko wa afya ya Jamii (CHF) wilayani humo ambapo zoezi hilo linaendelea kwa muda wa siku kumi.
kujiunga na mfuko wa afya ya Jamii (CHF) wilayani humo ambapo zoezi hilo linaendelea kwa muda wa siku kumi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF)
wilayani Muheza George Mhada kushoto akipokea fedha kutoka kwa Diwani wa
Kata ya
Potwe katikati Rashid Mdachi anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Subira Mgalu wakati wa uzinduzi wa uhamasishaji wa wananchi
kujiunga na mfuko wa afya ya Jamii(CHF) wilayani humo ambapo zaidi ya
kaya 65 zenye wanachama 390 zilifanikiwa kujiunga.
MAAFISA
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wahamasika kwenye zoezi hilo
na kuamua kuwalipia wanafunzi wa shule za msingi wapatao 80 kwenye Kata
ya Potwe wilayani Muheza wanaoishi kwenye mazingira magumu wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi
kujiunga na mfuko wa afya ya Jamii (CHF) wilayani humo ambapo zoezi hilo linaendelea kwa muda wa siku kumi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...