Nafasi Art Space kwa kushirikiana na Tunawea leo wameendesha
Warsha ya siku mbili ya Sanaa na Harakati iliyowakutanisha baadhi ya Wasanii,
Waandishi wa Wanaharakati nchini Tanzania ambapo Mpiga picha na Mwanaharakati
Boniface Mwangi kutoka Kenya ndio mwezeshaji katika warsha hiyo
Mpiga picha na Mwanaharakati
Boniface Mwangi kutoka Kenya, akizungumza na washiriki wa warsha hiyo
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada mbalimbali
Mpiga picha na Mwanaharakati
Boniface Mwangi kutoka Kenya, akizungumza na washiriki wa warsha hiyo
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo
Mwazilishi
wa Change Tanzania, Maria Sarungi Tsehai akichangia mada wakati wa
warsha ya Sanaa na Harakati iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...