Mkuu
wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC)Dk Richard Masika akizungumza kwenye
tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma
masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na
serikali ya Ubalozi wa Italia.

Wanafunzi
kutoka Shule za Sekondari 10 kwenye mikoa ya Arusha na Manyara
wakifatilia tamasha hilo ambao waliahidi kusoma masomo ya ufundi ambayo
yana uhakika wa ajira.
Mmoja
wa wanafunzi kutoka Shule ya Arusha Sekondari aliyefanya vizuri kujibu
maswali ya kisayansi akipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi.
Uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...