Watanzania wanaosoma chuo cha EUR wameshirikiana na watazanzania wenzao pamoja na ubalozi katika kushiriki siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies kwa heshima ili waone kile kinachokifanya na inaweza kuwa chachu kwa watanzania wengine waliopo maeneo mengine.
Washiriki wa kitanzania katika siku ya kimataifa katika Tawi la International Institute of Social Studies,Shamimu na Jackson Bulili wakiwa kwenye banda lao.
Sehemu ya Washiriki waliosimama ni Luth John, Jockson Bulili, Neema, Shamy Chamicha na Shamimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...