Basi
la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya
watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni
mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia
barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. Na pia kibaka
aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali hiyo
amepigwa na kuchomwa moto hadi kufikia na watu wenye hasira kali. Mpaka
sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni wangapi.
Home
Unlabelled
WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...