Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh Hawa Ghasia na Mwenyekiti wa Bodi ya Watumishi Housing Company (WHC) Bw. Adam Mayingu wakishuhudia Dr Cyiprian Mpemba (CEO- KEC) na Dr Fred Matola Msemwa (CEO- WHC) wakitia saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya WHC na Kibaha Education Centre(KEC) ambapo KEC itatoa ardhi kwa ujenzi wa nyumba 1150 za watumishi wa umma katika eneo la Mailimoja mjini Kibaha.Waliosimama kusho ni Mwanasheria wa WHC Bw Joel Maeda. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar- Es - Salaam.
Home
Unlabelled
Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...