Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua madwati 6000 kwa ajili ya wanafunzi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba yake katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kuununua madawati 6000kwa ajili ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...