Mhe. Dr. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji (wa pili kutoka kushoto) akijiandaa kuzindua ziara ya Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji iliyoanza leo Dar es salaam. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala na wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ubeligiji Tanzania Mhe. Adam Koenraad. Waziri Nagu kazindua ziara hiyo ya siku saba katika Hoteli ya Serena.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hivi jamani, kila wafanyabiashara wakija tanzania ni lazima na balozi nae aje nao hata kama ni wa kawaida tu,hakuna maofisa wengine hapo ubalozini wanaoweza kuambatana nao kama inabidi afanye hivyo?Mabalozi msiwaminye maofisa kihivyo!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...