Leo Ankal amepata bahati ya kukutana na Maktech, kampuni inayojishughulisha na kutatua changamoto na kuweka mambo sawa katika uhandisi wa TEKNOHAMA Tanzania. Pichani na Ankal akiwa na baadhi tu ya wadau wa Maktech ambao walimkaribisha kwa chakula cha mchana Ijumaa na kubadilishana naye mawazo.
Home
Unlabelled
ankal akutana na magwiji wa teknohama wa Maktech ambao ingawa hawavumi lakini wamo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...