Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Austria Mhe. Heinz Fischer katika Ikulu ya Vienna, Austria. Balozi Marmo anawakilisha pia Austria akiwa Ujerumani.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo akiongea na wenyeji wake baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho katika Ikulu ya Vienna, Austria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...