Home
Unlabelled
THE NIGHT OF KINGS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera zako nyingi sana Diamont Platnumz kwa kupata tuzo tatu katika kazi zako za kimuziki huko Afrika Kusini. Kutoka kwangu nakuambia "Wakati Ni Mali". Tumia wakati wako huu wa sasa wa mafaniko yako katika kuwekeza mali kwa maisha yako ya baadaye. Usibweteke na sifa.
ReplyDeleteSifa sio mali. Sasa imetosha kujitangaza bure katika vyombo mbali mbali. Weka kazi zako zote katika mitandao duniani na kupata malipo yako anzia sasa na baadaye. Jifunze sheria za muziki na namna ya kuandikiana mikataba mahali pote unapofanya deal yoyote. Bila kuwa na elimu hiyo utaishia kupata misifa isiyokuwa na tija katika maisha yako ya baadaye.
Hongera kwa kazi nzuri na kutuwakilisha Watanzania kimuziki . Toa salaamu zangu kwa Mzee Yusufu katika usiku wenu wa KIFALME Dar Live. Tembelea tovuti yetu ya www.msolab.se
Peters Mhoja - Sweden