Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,Ndg. Phillip Mangula (wa pili kulia) na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa (CCM),Mh. Pius Msekwa (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva (wa pili kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni katika Viwanja vya Farasi.
Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva (wa pili kulia) akisalimiana na Mh. Anne Abdallah ambaye ni Mbunge na Kiongozi Mwandamizi wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni katika Viwanja vya Farasi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,Ndg. Phillip Mangula akimnadi Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva wakati wa uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni katika Viwanja vya Farasi.
Kumbe "Surname" matters a lot kwa hizi siasa za siku hizi!!
ReplyDeleteViongozi wa sikuizi ni wajukuu zetu
ReplyDeleteKimolo!!!!!peter yupo wapi siku hizi?
ReplyDeletenyinyie achene hizo, kwani kama kila mtanzania ana haki ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi,basi hata watoto wa akubwa na makabwela wote wana haki sawa... bro zefrin kanyaga twende usivunjike moyo tupo nawe katika yote. mungu akuongoze siyo tu katika ushindi bali katika uongozi wako...
ReplyDelete