Dereva wa Boda boda akiwa amepenya katikati ya magari mawili bila kujali usalama wake kama aonekanavyo pichani,mara baada ya kunaswa na Camera ya Globu ya Jamii iliyokuwa ikijivinjari mtaa wa Jamhuri,jijini Dar mapema jioni ya leo.Pichani Kulia ni dereva akitoa maneno ya kumuonya dereva huyo wa boda boda kuacha tabia ya kulazimisha kupita sehemu ambayo inahatarisha usalama wa maisha yao,lakini hata hivyo Dereva huyo wa boda boda alionekana kutojali kwa kile alichokuwa akiambiwa badala yake aliendelea na safari yake.
Home
Unlabelled
DEREVA WA BODA BODA KAPITA HAPA.!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DAH!
ReplyDeletewajinga sana madereva wa bodaboda ingawa wao wanajiona wajanja sana.
ReplyDeleteKweli ajali nyingine ni za kununua.
ReplyDelete