Wachezaji wa timu ya Chuo cha Sayansi za Jamii, wakijifua kwa mazoezi
kabla ya mchezo wao dhidi ya timu ya Chuo cha Uhandisi na Teknolojia
katika fainali ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam, yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya
Uni 255, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es
Salaam juzi. Timu hizo zilitoka sare ya magoli 1-1 katika mpambano huo,
uliomalizika kabla ya muda kufutia giza kuingia na uwanja kukosaa taa.
Wachezaji wa timu za Chuo cha Sayansi za Jamii (jezi nyeusi) na Chuo
cha Uhandisi na Teknolojia, wakigombea mpira wakati wa mchezo wa fainali
ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Uni 255,
yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam juzi.
Timu hizo zilitoka sare ya magoli 1-1 katika mpambano huo, uliomalizika
kabla ya muda kufutia giza kuingia na uwanja kukosa taa.
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Betram
Mapunda akikagua wachezaji wa Chuo cha Uhandisi na Teknolojia, kabla ya
kuanza kwa mchezo wa fainali ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania kupitia
huduma yake ya Uni 255, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu
jijini Dar es Salaam juzi. Timu hizo zilitoka sare ya magoli 1-1 katika
mpambano huo, uliomalizika kabla ya muda kufuatia giza kuingia na uwanja
kukosa taa.Kushoto ni Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga.
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Betram
Mapunda akikagua wachezaji wa Chuo cha Sayansi za Jamii, kabla ya kuanza
kwa mchezo wa fainali ya mashindano ya vitivo mbalimbali vya Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam, yaliyodhaminiwa na Airtel Tanzania kupitia huduma
yake ya Uni 255, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar
es Salaam juzi. Timu hizo zilitoka sare ya magoli 1-1 katika mpambano
huo, uliomalizika kabla ya muda kufutia giza kuingia na uwanja kukosa
taa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...