Home
Unlabelled
HALI ILIVYOKUWA BAADA YA MVUA YA JUZI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wanapita kwenye maji na siyo juu ya maji (kiswahili fasaha).
ReplyDeletePoleni sana kwa kweli, maana mvua ya juzi ilikuwa kitahanani, lakini kama watowa maoni walivyosema, ni kuboresha hizo 'sewage' system zote katika miji na majiji yote nchini na kuhakikisha kuwepo kwa sewer system imara na za kisasa zitakazoweza kukumba (Kukusanya) volume ya kiasi chochote kile in case mvua kubwa mithli hiyo zinaponyesha na kuya empty panapostahili kusudi isiendelee kuwa kero kwa wananchi. Pia itasaidia kuwakomesha wale wenye desturi ya kusubiri mvua kubwa kama hizo na wao kuanza kumwaga maji taka yao humo humo. Wahusika litupieni macho suala hili kwani miji yetu inazidi kupanuka na kuboreka siku hadi siku, hivyo mvua zisilete kero na kusababisha kutuwama hovyo kwa maji machafu na kuwa bughudha kwa wendao kwa miguu.