Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kikwete ana busara ya uongozi. Ameshamuondoa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika na ushahidi uliopo. Sasa hivi anasubiri uchunguzi ukamilike ili afanye maamuzi juu ya Tanesco na Prof. Muhongo na Maswi na wengine. Watu wengi wanaolalamika kwamba raisi Kikwete ni kiongozi dhaifu na hafifu mnafanya makosa. Mpeni raisi muda akamilishe kazi yake muone atakavyowashugulikia wote walioshiriki kwenye ufisadi.

    ReplyDelete
  2. Ungetuwekea maneno ya kakobe uone alivyowapa laivu wazandiki....hakuzunguka mbuyu kwakua huu sio wakati wa kutumia methali na misemo watu wametia pamba masikioni....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...