Mdau wa Globu ya jamii,Daniel Chongolo
leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na
Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha
hadi hii leo na hakuna alicho mpa. Pia anashukuru Wazazi hasa mama
yake, familia yake ikiongozwa na mkewe pamoja na watoto wao.
Globu ya jamii inamtakia afya njema na kila lakheri katika siku yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Globu ya jamii inamtakia afya njema na kila lakheri katika siku yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...