Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akimwapisha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mh. Vincent Lyimo kuwa Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima nchini, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mapema leo ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu. kulia ni Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Mhe. Jaji Vincent Lyimo, Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima akisaini hati ya uteuzi mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman (hayupo pichani)
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman, akimkabidhi hati ya kiapo Mh Vicent Lyimo, kuwa Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima.
Mh. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Bima nchini, Bw. Israel Kamuzora (wa kwanza kushoto) wakiwa kwenye picha pamoja na Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima, Mhe. Vincent Lyimo(wa pili kulia), Bw. Paul Ngwembe Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Bima nchini (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Mahakama na Mamlaka ya Bima walioshiriki katika hafla hiyo fupi. (Picha na Mahakama).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kila nikipita hapo nje ya mahakama ya rufaa nataka kutapika nikiona hiyo nembo yao. a more elegant court of arms ni stahili ya mahakama. please be a little more creative and appealing!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...