Kuchangia damu ni kitendo cha kiungwana na
hudhihirisha upendo, ambacho hufanywa kwa hiari bila malipo yoyote. Pichani ni
kamanda wa polisi wa mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Suzan Kaganda akichangia
damu kudhihirisha upendo na kujali maisha ya Mama na mtoto.
Wito kwa wananchi; tunaomba wajitokeze katika vituo
vya Mpango wa Taifa wa damu salama ili waweze kuchangia damu.
Kwa maelezo zaidi
piga simu zifuatazo:
Kanda ya mashariki Dar-es-Salaam -0715-339282
Kanda ya magharibi Tabora -0785733606
Kanda ya kusini Mtwara -0786852051
Kanda ya Ziwa Mwanza -0769455591
Kanda ya nyanda za juu Mbeya-0767502430
Kanda ya kaszanini Moshi- 0712102818
Damu
ni Tiba muhimu kwa Afya ya Mwanadamu, Damu ya binadamu pekee ndio inayotumika
kumuongezea mwenye kuhitaji kuongezewa damu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...