Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za sherehe za kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika. Onyesho hilo linawashirikisha wasanii wengi.
Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
Sehemu ya ukumbi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman akiwa na mwanamuziki Mkongwe Tabia Mwanjelwa katika moja ya shoo zake nchini Ujerumani hivi karibuni
Sehemu ya ukumbi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...