Mganga mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Mtumwa Mwako akizungumza wakati wa ufunguzi wa kambi ya watoto (Ariel camp) wanaopata huduma katika vituo mbalimbali vya afya vinavyosaidiwa na shirika lisilo la kiserikali la AGPAHI linalofanya kazi katika mikoa ya Shinyanga na Simiyu.
|
Home
Unlabelled
KAMBI YA WATOTO WANAOHUDUMIWA KATIKA VITUO VINAVYOSAIDIWA NA AGPAHI YAFUNGULIWA MOSHI MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...