Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza
kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo tarehe 06
mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.
Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku
sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo
niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya
nguvu maana bila ninyi mablogger sidhani kama kazi hii ingeendelea
mpaka kufikia hapa na pia kuna baadhi yao unielekeza kwa kunikosoa hata
kunifundisha ni kipi cha kufanya il niweze kufikia malengo,
Na pia washukuru wadau wetu wanaotembelea Blog Yetu ya Pamoja Blog maana bila nyie mimi nisingekuwa nafanya kazi hizi.
Asanteni sana na pia nawapenda sana munguawalinde na awasimamie katika ujenzi wa taifa letu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...