Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavu
mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa
Kamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zake
Walemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw  Clement akisaidia  kuwaelekeza  walemavu hao. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...