Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: WANGAPI MNAIKUMBUKA HII?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii tulikuwa tunaipangia foleni, chapati zake tamu kweli kweli
ReplyDeleteKumbe tullishafika mbali hivyo! Kwa nini tumerudi nyuma?
ReplyDeletemdau wa kwanza umenena....kwa chapati hiyo ilikuwa mwake sana...toka pande zile za kanda ya ziwa...VOIL...
ReplyDeleteKwa chapati haikuwa na mshindani,
ReplyDeletehaya ndio yalikuwa mafuta ya ukweli,ni kweli yalikuwa mazuri katika utengenezaji wa chapati,asante sana kwa kutukumbusha mafuta ya ukweli
ReplyDeleteNi kweli tulkuwa mbali sana kiuchumi na sasa tumerudi nyuma kwasababu kila kukikucha ni ufisadi na ubadhirifu.
ReplyDelete