Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko Mhe. Janeth Mbene wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.
Wahitimu wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...