Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School iliyopo Karakata Uwanja wa Ndege Jijini Dar es Salaam wakiwa katika ziara ya kimasomo ufukwe wa Bahari, Funy City Kigamboni pamoja na mahafali yao ikiwa kusheherekea kumaliza elimu ya awali. Shule hii ipo chini ya Mwalimu Aisha Juma Kibukillah
Mmoja wa Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School akipokea cheti toma kwa mgeni rasmi
Baadhi ya Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School wakiwa Fun City, Kigamboni
Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School wakipumzika
Wanafunzi wa Shemssah Junior Nursery School wakicheza Fun City
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...