Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum
Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu
wa
shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.
Mkuu
wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele
ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari
iliyofanyika mwishoni mwa wiki Temeke,jijini Dar.
Mwenyekiti
wa Bodi,Bi Fatma akizungumza machache kwenye hafla ya mahafari ya
kidato cha nne ya shule ya sekondari ya Twayyibat,Temeke jijini
Dar,iliyofanyika mwishoni mwa wiki. bi
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nee wa shule hiyo wakitoa burudan ya igizo
Mmoja wa wanafunzi aliyehitimu,akipokea cheti chake wakati wa mahafali shuleni hapo
Pichani ni mmoja wa Wanafunzi,Sada Abubakar akipokea cheti cha Mwanafunzi bora
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...