Mkuu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera (RPC) Henry Mwaibambe nae alipata picha ya pamoja na wasanii hao.
Msanii
wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege(kulia) akisalimiana Mtangazaji wa
Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz punde leo hii wakati wa kipindi cha
Gospal flava cha Kasibante fm 88.5, Rose Muhando, Bonny Mwaitege na
Gaston Sapula wanatarajia kupamba fainali za Mashindano ya Biblia leo
hii kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini kuanzia saa 8 Mchana. Shindano
hili lililokuwa likiendelea hapa Bukoba na kuzikutanisha Wilaya
mbalimbali zikiwemo Wilaya ya Muleba, Karagwe, Misenyi na sasa kufikia
tamati leo hii Jumapili Dec. 5. Fainali ambazo zitafanyika leo na Mgeni
Rasmi ni Mbunge wa Bukoba Mjini(CCM) Mh. Khamis Sued
Kagasheki.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...