Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
R.I.P mama na poleni sana wafiwa. Mungu awape nguvu na uvumilivu wakati huu mgumu.
ReplyDelete