Kaimu
Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu
wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni mkoani Kibaha
mkoani Pwani. Kushoto ni Hemed Mbaraka na Mganwa Nzota.
Wanahabari wa morogoro nao walikula nondo zao katika mahafali hayo.
Angela Akilimali akiwa na mumewe Hassan Hemedi Chamshama baada ya kumkabidhi shada la maua wakati akimpongeza.
Toka kushoto ni Idda Mushi wa ITV/Redio One - Morogoro, Angela Akilimali wa Uhuru FM na Hana Mayige wa TBC wakipozi kwa picha wenye furaha baada ya kula nondo zao. PICHA ZAIDI BOFYA>>>>KIDEVU BLOG.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...