Mdau Salum Mpenda akiwa kapozz kwa picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.
 Mdau Salum Mpenda (kati) akiwa na Marcina Charles (shoto) na Mariam Ibrahim wakiwa ni wenye furaha tele kwa mufanikiwa kulamza nondozz zao za Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.
Furaha ya Nondozz: Mdau Salum Mpenda akiwa kwenye picha ya pamoja na Wazazi wake Dkt. Mpenda na Mama Pili Mpenda pamoja na rafiki yake Bi. Marcina Charles nje ya chuo hicho mara baada ya kulamba nondozz yake ya Mastars of International Law katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Greetings of the Season!

    Da' Pili na Mumeo hongereni sana sana kwa Kazi kubwa na nzuri! Mwenyenzi Mungu amewabariki kuwapa kijana (katika maisha ya sasa) msikivu na aliye na busara kiasi cha Kujua umuhimu wa elimu!
    Tuendelee kuomba kwa Mwenyenzi Mungu amfungulie njia zake zote katika maisha, na amtangulie katika kila jambo.

    Dogo - you made your parents and the entire family proud...keep it up! Remember 'the sky is NO Longer the limit..."

    Joyous X-Mas and a Prosperous 2015!
    It's me (from Tabora Family 1986-88)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...