Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa leo amehudhuria maadhimisho ya siku ya ukimwi yaliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti na ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akipatiwa maelezo kutoka kwa  mmoja wa wataalamu wa maswala ya VVU wakati alipotembelea maadhimisho hayo.
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akipatiwa ushauri nasaha kutoka kwa Daktari kabla ya kuamua kupima VVU.
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akipima VVU.
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akizungumza wakati akiwahamasisha vijana na watu mbali mbali kuwa na utamaduni wa kupima afya zao wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi yaliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kuna wakati serikali iliwahi kutoa maelekezo kuwa wafanyakazi maofisini wasivae kandambili. Kulikoni Daktari hapo ninamwona ametinga kandambili Ofisini mbele ya Mstahiki Meya?

    ReplyDelete
  2. VVU inapimwa kwenye kidole? Damu inatakiwa itolewe kwenye mshipa unapokunjia mkono.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...