Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima
(watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa
Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika
sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA)
zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani
ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti Mifuko ya
Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto), kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (kulia) na wafanyakazi wa mfuko huo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima (wapili kushoto) akifurahi pamoja na wafanyakazi wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF mara baada ya kuwakabidhi tuzo ya Mshindi wa Jumla wa
Mahesabu Safi kwa mwaka 2013 katika sherehe zilizoandaliwa na NBAA
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...