Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Katibu mkuu wa
Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea kwa ajili
ya kumjulia hali, nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana. Mh
Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya Krismasi.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Katibu mkuu wa
Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea nyumbani
kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana. Mh. Lowassa alikuwa Zanzibar kwa
mapumziko ya kusherekea sikukuu ya Krismasi. Kushoto ni Mke wa Sukwa, Fatma
Mussa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya
Katibu wa Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea
nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana.
Hongera sana. Watoto ambao umri wao ni chini ya miaka 10 wako 10!! Hapo ukiulizia tiketi za kwenye South Africa vacation na familia utakonda.
ReplyDeleteBaraka za wazee mheshimiwa
ReplyDelete