Mwakilishi wa Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter
Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla
ya kuwavaa Bandari Mtwara.
Timu ya kuvuta kamba
kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara.
Timu ya kuvuta kamba
kutoka Bandari Mtwara wakimenyana na wenzao wa Bandari ya Dar es Salaam.
Timu kutoka Bandari
za Maziwa ikiingia uwanjani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...