Wapiganaji Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne (kati) na Bi Mwaura Mwingira wa Ubalozi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani (kulia) wakiwa na wahitimu wenzao katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam,wakati walipolamba Nondozzz zao.
Mdau Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wenzake mara baada ya kulamba nondozz zao katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki.
Monyo na Mdogo Wake.
Mdau Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne akiwa na Baba yake Mzee Zerubabeli Moyo mara baada ya kulamba Nondozz yake.
Huyu anaitwa Monyo au Moyo? Unatuchanganya sio tusiojua kwani umetumia yote mawili hapo juu.
ReplyDelete