Afisa
mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi (kulia),
akiwa na mkulima wa zao la karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae anadaiwa kuchanganya
karafuu na makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC wa Finya, wilaya ya
Micheweni
Mpimaji wa karafuu
wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba, Kitwana Salim Kitwana, akipima
karafuu hizo kituoni hapo.
Wananchi waliokodi
shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni Pemba, ambao
kwa sasa wamekosa majamvi maalumu ya kuanikia na kusababisha kuanika kwenye maturubali
ya plasitiki, ambayo husababisha kupoteza ubora wake
Ofisa Mdhamini wa ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi akikagua karafuu za
wananchi waliokodi shamba la mikarafuu la serikali, ambapo wananchi hao kwa
sasa wanahitaji kupatiwa majmvi ya kuanika ili kuepusha karafuu zao kuharibika. Picha zote na Haji Nassor, Pemba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...