Mkurugenzi mtendaji wa shule ya Southern Highlands Mafinga Bi Mary Mungai kushoto akiwa na wageni mbalimbali |
Wanafunzi wa shule ya Southern Highlands Mafinda wakipiga vyombo vya muziki walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa siku ya mahafali ya chekechea na siku ya wazazi shuleni hapo |
Msimamizi mkuu wa Library katika shule ya Southern Highlands Mafinga Glory Mgullah Akijitambulisha |
Mwalimu Bi Sarah akijitambulisha mbele ya wazazi |
Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla ya siku ya wazazi. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...