Mkuu wa Chuo
Kikuu Mzumbe, Jaji Mstaafu Barnabas Samatta akimtunuku shahada ya uzamivu (Phd)
mmoja wa wahitimu, Joseph Sangau, katika mahafali ya 13 ya chuo hicho
yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho,
Prof. Josephat Itika.
Sehemu ya
wahitimu wa mahafali ya 13 ya chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika katika kampasi
kuu ya chuo hicho mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.
Naibu Makamu
Mkuu wa Chuo, Utawala na Fedha, Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Faustin Kamuzora
(Kushoto) akijadili jambo na Rais wa Masajili wa Chuo hicho, Bw. Ludovic Utouh
wakati wa mahafali ya 13 ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini
Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Chuo
Kikuu Mzumbe, Jaji Mstaafu Barnabas Samatta (katikati) wakati wa mahafali ya 13
ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi kuu mjini Morogoro mwishoni mwa
wiki. Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa chuo
hicho, Prof. Josephat Itika na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Daniel Mkude
(kushoto).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...