Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki nne na tisini elfu Picha na Chris Mfinanga
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Kadinali Pengo
Mtoto Dorothea Elias Simkwayi (14) anayesoma shule ya wasichana Jangwani akimuahidi Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchangia Shilingi elfu arobaini kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani aliye keti ni Mke wa WAziri wa Madini Mh Chales Kitwanga Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ya Kuchangia iliyo fanyika katika makazi Kadinali Pengo Kurasini ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki nne na tisini elfu
Wasaidizi wa Mh Waziri Mkuu wakimuunga mkono katika kuchangia. Picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...