
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum Prof Mark Mwandosya akisisitiza jambo kwenye mkutano wa mkuu wa 47 wa chama cha madaktari unaofanyika kwa siku 2 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Dodoma.
.jpg)
Madaktari ambao ni wajumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) wakifuatilia jambo katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma walipokuwa kwenye mkutano wao wa 47
.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum Prof Mark Mwandosya na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Kebwe Stevin Kebwe wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa chama cha madaktari waliokuwa kwenye mkutano wao mkuu.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakiwa nje ya ukumbi wa Pius Msekwa kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuendelea na mkutano. Picha na Pamoja Pure Blog
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...